Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Hakuna Ubaya Kurudia

..niweke angalizo kabla sijakusalimia wewe Kapuku unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Yapo ya kurudia kama shule lakini usifanya kurudia makosa. Ndiyo, usirudie makosa ambayo yalikufanya ukalia na kuumia moyo na mwili. usirudie makosa yaliyokufanya ukafumba macho na kuuma meno, usirudie makosa ambayo yalikufanya ukashindwa kula au ukaamua kula na kunywa kupita kiasi. Makosa ni kosa iwe ni yenye raha au karaha. Usiyarudie na ndo maana nimeweka angalizo na sasa ninakusalimia.

Unaruhusiwa kurudia mazuri, kurudia ili usikosee tena, kurudia ili kujisahihisha huku ndo sawa.

Muziki sasa, nami naudia muziki huu kwa sababu ni mzuri na ninavutiwa nao.

Asante binamy barikiwa
 
Binamu asante sana

Similar Discussions

Back
Top Bottom