Makapuku Forum

Makapuku Forum

...oh, yaani mmmh, hebu niulize. Sijasema natoa hela, nimesema ninakupa offer ya kujinunulia kinywaji. Yaani maana yake, kwa kuwa unakunywa wewe asi hakuna ubaya kujinunulia kwa hela yako.

Nilitegemea uniambie " asante Obe, nimejinunulia kinywaji nachopenda" hapa hata maswali yangepungua, ningekupongeza tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ajinunulie aache ubahili
 
...hivi hivi tu ambavyo haviwekwi kwenye karatasi za foil. Au wewe unakijua kitumbua gani?

Usiniambie kitumbua kile kinachotengenezwa kwa unga wa ngano
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Me ckijui
 
...itakuwa wikend labda, kuniona itakuwa shida wikend maana natumiaga simu ya ofisi (ni smartphone) ikifika Ijumaa naambiwa niiache ofisini. Kuna mabosi wana roho za ajabu sana
Pole binamu kwa kuwa na maboss wenye visiran
 
Mh
...itakuwa wikend labda, kuniona itakuwa shida wikend maana natumiaga simu ya ofisi (ni smartphone) ikifika Ijumaa naambiwa niiache ofisini. Kuna mabosi wana roho za ajabu sana
 
Back
Top Bottom