Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Usiniambie unajua mke mwee niko na ugonjwa wa kusahau kwahiyo niliitwa dada ikawaje

Ili nisutwe
Usiniambie unajua mke mwee niko na ugonjwa wa kusahau kwahiyo niliitwa dada ikawaje

Hakuna wa kukusuta jamani ebu nikumbushe ikawaje jamani![]()
![]()
![]()
Ili nisutwe
Mm tenaa??Niwaulize we na tumosa wako jamani
Ngoja binamu ajeHakuna wa kukusuta jamani ebu nikumbushe ikawaje jamani
Ndio jamaniMm tenaa??
Huwezi kuongea mpaka binamu akuje eenhNgoja binamu aje
Ndiwooo ili mkianza kunisuta anisaidieHuwezi kuongea mpaka binamu akuje eenh
Hujambo mjukuu wangu?Hakuna wa kukusuta jamani ebu nikumbushe ikawaje jamani
Za weekend mjukuu wanguNdio jamani
ShikamooHujambo mjukuu wangu?
Marhabaa mjukuu mwee... Tumelala... Hujui leo SundayShikamoo
ShunieHuwezi kuongea mpaka binamu akuje eenh
Haya mlalo mwemaMarhabaa mjukuu mwee... Tumelala... Hujui leo Sunday
Mlalo kwa kina Shunie hukoHaya mlalo mwema
Ndo wapMlalo kwa kina Shunie huko