Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
.....nitajitahidi nije kabla hawajaanza kuongea maana wakianza kuongea tu baada ya salamu wanaanza kuomba hela
Sawasawa binamu
.....nitajitahidi nije kabla hawajaanza kuongea maana wakianza kuongea tu baada ya salamu wanaanza kuomba hela
Kwahiyo nakusingizia mm jamani
Mbona haifunguki binamu
Kheeee
Binamu asanteMuziki: Nunua Unachohitaji
Ninakusalimia Kapuku mwenzangu na nikwambie tu kitu kimoja ambacho asilani sitakaa niache kukisema. Wewe ni mtu muhimu, ndiyo, wewe unayesoma hapa unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Ninatumaini umekuwa na wakati mzuri, binafsi yangu nimekuwa na wakati mzuri sana, asante kwa kutouliza.
Tumekuwa na kawaida ya kufanya manunuzi, uchumi unakuzwa kutokana na manunuzi hivyo kufanya manunuzi = kukuza uchumi. Changamoto kubwa ni je manunuzi haya tunayofanya tunayahitaji? Wapo baadhi yetu wanashida ya kununua hata wasivyohitaji na si ajabu ndani anakuwa na makorokoro mengi na wala kuyagawa hayahitaji. Hii si sawa, fanya manunuzi kwa kile unachohitaji na kama kuna kitu hukitumii basi kigawe kwa muhitaji angalizo usigawe kilichochakaachakaa sana au ulichojaza viraka.
Muziki sasa, burudika na ninakutakia Ramadhani njema hata wewe ambaye huishiriki.
Mbona haifunguki binamu
Hata sijui mie kama hajambo
Woooooooozeeer tekno wangu mmoh, pole. Kwangu inafunguka though. Nadhani ni sehemu nilipoitoa, hii hapa sasa nimeitoa youtube
Kama ni yeye nitakutana nae kwenye mapicha mapicha uko ambako niko naeHapahapa ili tujue kama ni yy au dogo
Sawa mke mweee utuletee mrejesho kama ni yyKama ni yeye nitakutana nae kwenye mapicha mapicha uko ambako niko nae
Bora umwambie jamani![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Na ww ni babu yko
Babu wa makapuku
Mrejesho hakuna acc nimeshafunga mie labda siku nikiifunguaSawa mke mweee utuletee mrejesho kama ni yy
Uko na nini wewe jamani hata wewe ni babu yako kila mtu humu ni babu yake sio shunie tu