Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Salam

Ni jambo zuri kusalimiana, salamu ni nusu ya kuonana na kama ulikuwa ni msikilizaji wa RTD enzi hizo za kina Husein Mabureta, baba Dullah wa Makorora Tanga na Said wa Mhuta Newala kwetu huko, utajua namaanisha nini. Na ni hii hii sababu ndo inanifanya nisiache kukusalimia kila ninapopata nafasi. Ninakusalimia kwa sababu wewe ni mtu muhimu unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.

Ijumaa-Furahiday sikutokeza hapa kutokana na sababu zilizo ndani ya uwezo wangu lakini sikuacha kutupia jicho moja mbili, hakijaharibika kitu. Ninafurahi kukuona mdau shululu kuja hapa, mjomba wangu Lyon Lee , na mtaasisi Nyagei , ninawataja ninyi kwa sabu hamkuwepo hapa kitambo na huwa tunawamiss hata kama sio alhamisi.

Muzki sasa, taratibu leo, wikend ilikuwa fupi. Juma la kuelekea mwisho wa mwezi, kuugawa mwaka inahitaji kukaa chini na hesabu za magazijuto.

Oh, nilitaka kusahau, nimemmiss sana BlessedHope

Asante binamu
Nmemiss pia mama mchungaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom