mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Yaani hapo akili yangu inaharibika
Yaani hapo akili yangu inaharibika
Shem naomba ufute hapo uliposema niwasalimie ujue watu wanasoma halafu wanakariri mnaniletea shida kwenye majukwaa mengine isijirudie nakuombaHakika umenena
Poye shemelaShem naomba ufute hapo uliposema niwasalimie ujue watu wanasoma halafu wanakariri mnaniletea shida kwenye majukwaa mengine isijirudie nakuomba
AiseeeHuyo ndio mumeo shululu
Shikamoo binamu...nimeitikia aunt yangu mwenyewe, au hupati notifikesheni kwa sababu unatumia ile simu ya Itel?
Nikiacha kujibu salamu yako mimi si nitakuwa nimerogwa
Sio kujitoa utoto sielewi yaaniKawaida tu Jamani.... Wacha kujitia utoto bana!!!
Sawa binamu naona nimekuwa kipofu...unataka kuanza kunichongea kwa aunt yangu anikasirikie bila sababu. Mimi nimemjibu sema yeye simu anayotumia ni zile za zamani kabisa, kuona notification hadi uipeleke kwa fundi
Sasa unaitwa Victor mbona mwarabu wewe na unafungaMaana ya jina langu... Victor... Kwa hio Sina asili ya woga
...unataka kuanza kunichongea kwa aunt yangu anikasirikie bila sababu. Mimi nimemjibu sema yeye simu anayotumia ni zile za zamani kabisa, kuona notification hadi uipeleke kwa fundi
sawasawa binamu sirudii tena mm
MhYaani hapo akili yangu inaharibika
Shem naomba ufute hapo uliposema niwasalimie ujue watu wanasoma halafu wanakariri mnaniletea shida kwenye majukwaa mengine isijirudie nakuomba
Kwani amekaa uchi![]()
![]()
![]()
![]()
Ni ww babu kweli au account yko imehakiwa
Shem naomba ufute hapo uliposema niwasalimie ujue watu wanasoma halafu wanakariri mnaniletea shida kwenye majukwaa mengine isijirudie nakuomba

Asante shemela usifanye hivyo tena mtu ankuqoute mmu anataja kabisa hawajambo uko kumbe mtu anapita kimyakimya kusomaPoye shemela
Sasa unaitwa Victor mbona mwarabu wewe na unafunga
Ununue cmu mpya hyo ya zamani haionyeshi etiSawa binamu naona nimekuwa kipofu
.....nakuwaga wa mwisho kujua sasa sijui hata ni nini hii







Bora usijue tu hivyohivyo binamu
Usicheke