Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Mm apaHa ha ha ha ha ha.... Weweeeee.... Sijui?? CC Shunie
Mm apaHa ha ha ha ha ha.... Weweeeee.... Sijui?? CC Shunie
Ameona hbr ya usista pke akeHivi binamu si nilikupa shikamoo hujaona au vipi

Ondoa shaka mama JJWakininyang'anya baba wawili
Kuelekea vizuri kwenye nn yaaani ujue sikuelewi elewi mmEwaaaaa....naona tunaelekea kizuri
Si yale Makelele ya uongo... Ya kujidai kunogewa kumbe gia tu ya kumuingizia mtu kingiMm nimekuuliza we jamani uliyesema



Haiwezekani aisee, ujue haili ugari hiyo, laiti zingekuwa zinakula hata chips, mjini watu wangekomaShemela eti nakufwaje na utamu wangu jamani
Atakomaa hvohvo afanyaje sasaAiseeee kumbe sasa we babu utamu upiii mm kama dume je au shemale
Ha ha ha ha ha ha.... Ungekuwa hivyo usingesema!!!!Aiseeee kumbe sasa we babu utamu upiii mm kama dume je au shemale
Kwahiyo shikamoo yangu hajaiona kabisaAmeona hbr ya usista pke ake![]()
![]()
![]()
Haiwezekani aisee, ujue haili ugari hiyo, laiti zingekuwa zinakula hata chips, mjini watu wangekoma

Ebu wacha kona nyingi basi mjukuu wanguKuelekea vizuri kwenye nn yaaani ujue sikuelewi elewi mm
Asante sana dj Obe kwa musicMuziki: Salam
Ni jambo zuri kusalimiana, salamu ni nusu ya kuonana na kama ulikuwa ni msikilizaji wa RTD enzi hizo za kina Husein Mabureta, baba Dullah wa Makorora Tanga na Said wa Mhuta Newala kwetu huko, utajua namaanisha nini. Na ni hii hii sababu ndo inanifanya nisiache kukusalimia kila ninapopata nafasi. Ninakusalimia kwa sababu wewe ni mtu muhimu unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Ijumaa-Furahiday sikutokeza hapa kutokana na sababu zilizo ndani ya uwezo wangu lakini sikuacha kutupia jicho moja mbili, hakijaharibika kitu. Ninafurahi kukuona mdau shululu kuja hapa, mjomba wangu Lyon Lee , na mtaasisi Nyagei , ninawataja ninyi kwa sabu hamkuwepo hapa kitambo na huwa tunawamiss hata kama sio alhamisi.
Muzki sasa, taratibu leo, wikend ilikuwa fupi. Juma la kuelekea mwisho wa mwezi, kuugawa mwaka inahitaji kukaa chini na hesabu za magazijuto.
Oh, nilitaka kusahau, nimemmiss sana BlessedHope
bora kabisa
Ooh ila yapo yenyewe ya kunogewa ukiwa na hisia na mbebez wakoSi yale Makelele ya uongo... Ya kujidai kunogewa kumbe gia tu ya kumuingizia mtu kingi![]()
Haiwezekani aisee, ujue haili ugari hiyo, laiti zingekuwa zinakula hata chips, mjini watu wangekoma





Umeona eenh shemela
KhaaaaaaAtakomaa hvohvo afanyaje sasa
We sema tu hivyohivyo jf hii humu kama kucheza bikoHa ha ha ha ha ha.... Ungekuwa hivyo usingesema!!!!