Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...labda mwarabu koko?
NB: Mwarabukoko haihusiani na mbwa koko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...labda mwarabu koko?
NB: Mwarabukoko haihusiani na mbwa koko
Safari hii mmekazanaKwani amekaa uchi
Sio mnaongea hivyo maneno matupu mtoe na mahelaUnunue cmu mpya hyo ya zamani haionyeshi eti
We vipiiiiiiii[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...labda mwarabu koko?
NB: Mwarabukoko haihusiani na mbwa koko
Kuhusu nn tenaSafari hii mmekazana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bora usijue tu hivyohivyo binamu
Babu yupo tayari kutoa ww tu unazinguaSio mnaongea hivyo maneno matupu mtoe na mahela
Nashangaa babu yetu kuwa mwarabu au ss tumefanana na bbWe vipiiiiiiii
Mambo zenu na babu jamaniKuhusu nn tena
Hawakupori binamu wana mambo yao hao...lol! Kwweli umenichoka, kwa hiyo nisijue nibaki kuwa mjinga?!1
Je kama mmepanga kunipora mpenzi wangu, mnataka iwe sapuraizi! Vibaya hivyo jameni, wengine tunafunga msitutafutie kufungulia
Babu yupo tayari kutoa ww tu unazingua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shangaa na ww binamu...hapo ndo ushangae sasa, babu anataka kumpatia simu mma kabisa, atoe kwenye boksi. Anachotaka babu hata hakizidi dakika tano. Shida nyingine za kujitakia, angekuwa kakubali saa hizi angekuwa anatamba na Samsung 9+
Hawakupori binamu wana mambo yao hao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...hapo sawa, kwa kuwa wewe umesema basi nakuamini. Roho ilishaanza kunipasuka
Hahahaha...lol! Kwweli umenichoka, kwa hiyo nisijue nibaki kuwa mjinga?!1
Je kama mmepanga kunipora mpenzi wangu, mnataka iwe sapuraizi! Vibaya hivyo jameni, wengine tunafunga msitutafutie kufungulia
Atoe sasaBabu yupo tayari kutoa ww tu unazingua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi tumefanana na bibi yetuNashangaa babu yetu kuwa mwarabu au ss tumefanana na bb
Zimefanyaje jamaniMambo zenu na babu jamani
Hahahaha
Hakuna wa kukupora mpenzi wako binamu kumbe nawe uko na wivu