Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jamani ni makosa kusema alihifadhiwa, kwani wote wakihitajiana.
Nafikiri kateleza tu kwani kuna wakati alihojiwa akajibu hawezi kumwongelea Jide hadharani kwani
Jide ni public figure, nahisi alikuwa kalewa
Anayefanya kitu akiwa amelewa asilimia kubwa huwa kadhamiria kwamba nakunywa lakini flani atanikoma. Sidhani Kama gadner kaanza kunywa juzi mpaka pombe imtawale kiasi kile.
Ingependeza Kama angeishia pale mwanzo aliposema kuwa hana tatizo na huyu mtoto wa kike
 
1419342298077-jpg.213338

Gadner Alichemka sana kwanza tayari Binti yake keshakuwa mtu mzima hivi...Angefurahi kweli mtu akaijakusema kauli kama zile alizosema juu ya Lady Jaydee kwa Binti yake huyu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom