Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Wifi sijakuelewa ulipoona Avatar yangu au yako?Wifi nimeshtuka nilivyoona hyo avatar nikawaza , hapa nimecoment saa ngap
Wifi sijakuelewa ulipoona Avatar yangu au yako?Wifi nimeshtuka nilivyoona hyo avatar nikawaza , hapa nimecoment saa ngap
Yaan hii jf inanifanyia mazingaombwe niliona avatar yangu imehamia kwako.Wifi sijakuelewa ulipoona Avatar yangu au yako?
Hahahahahaha pole, wala haijahama labda Network tuYaan hii jf inanifanyia mazingaombwe niliona avatar yangu imehamia kwako.
Hahaa itakuwa.Hahahahahaha pole, wala haijahama labda Network tu
ambo lizzieYaan hii jf inanifanyia mazingaombwe niliona avatar yangu imehamia kwako.
Powaa, tuongee nn?m
ambo lizzie
nimependa avatar yako jamani! teh.. njoo basi tuongee
Kuna kipindi wakati wanabadilisha mfumo iliwahi kunitokea hiyo ila sikuhizi bado haijanitokea tenaHahaa itakuwa.
nimekupenda jamani!Powaa, tuongee nn?
Basi mimi nikashangaa kweli.Kuna kipindi wakati wanabadilisha mfumo iliwahi kunitokea hiyo ila sikuhizi bado haijanitokea tena
Thank you!nimekupenda jamani!
SimbaKhaaaaaaaaaa kama![]()
![]()
akiwa gym
hii usiwe na shaka. hii ishuya avater yako kuiona kwa mwingine ni hali ya kawaida tuu. hata mimi kuna siku ilishawahi kunitokea.Hahaa itakuwa.
Aione!
nimevutiwa sana na uandishi wako na namna unavotoa mawazo yako.... i wanna make you my partnerThank you!
Okay, nilikuwa sijui.hii usiwe na shaka. hii ishuya avater yako kuiona kwa mwingine ni hali ya kawaida tuu. hata mimi kuna siku ilishawahi kunitokea.
NAZANI NI MATATIZO YA NETWORK. TUU
Asante!nimevutiwa sana na uandishi wako na namna unavotoa mawazo yako.... i wanna make you my partner