Aziz Ki Mayele
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 899
- 1,955
Uku nyeri ndo zimejaaBeach mbu
AsanteKaribu mkuu
Hiyo harufu inayotoka hapo si ya kawaida kuna mengine yapo kunduchi
Moja ya shule bora na nzuri sana![]()
Mojawapo ya shule bora Joto City.
Ipo Mabibo
.................
Nishafika huko hadi mabwawa ya chumviHiyo harufu inayotoka hapo si ya kawaida kuna mengine yapo kunduchi
Hongera.Nishafika huko hadi mabwawa ya chumvi
............
Sisy...Hongera.
Hamia mjini, river road patakufaa sanaUku nyeri ndo zimejaa
Yes Bro... Upo? Miss you...Sisy...
Mtu kwao.....![]()
Mojawapo ya shule bora Joto City.
Ipo Mabibo
.................
Hata km chini ya mti...Mtu kwao.....
Hongera kwenu
Tunasubiri Jide naye aje na kiitikio kuwa cjawahi kupandishwa KileleniHii ndo bongo ya matukio....
1. Ilianza story ya bunge live
2. Ikaja story ya chura
3. Ikafuatia story ya sukari
4. Now tupo Kukojoza
What next.........? Stay tune ......
![]()
Jide anajielewa Hawez kumjibuTunasubiri Jide naye aje na kiitikio kuwa cjawahi kupandishwa Kileleni
Atamjibu kimafumbo kwa wimboJide anajielewa Hawez kumjibu