Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jide hawezi kumjibu. Gadner ana stress Sana amesahau Kama jide alimuhifadhi kwa 15 yrs?
Nimemtoa Sana thamani sijui mchagga gani huyu?
Jamani ni makosa kusema alihifadhiwa, kwani wote wakihitajiana.
Nafikiri kateleza tu kwani kuna wakati alihojiwa akajibu hawezi kumwongelea Jide hadharani kwani
Jide ni public figure, nahisi alikuwa kalewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom