Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Mfyuuuuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mfyuuuuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Khaaaaaa ebu tuna mahela kwanza kwa sakayo tujue mahela yapoMi najua wewe mjukuu wangu hupendagi bongo movie.... Siwezi kukuletea bongo movie [emoji4]
Anataka kutuharibia tu.... Mwenyewe nachombeza .....anataka kumpurusha Ndege wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa.... Na wala sitokubugudhi yaani... Jinsi ninavyokuhamu
Aisee duhToka lini upendo ukawa na dizaini.... Upendo ni upendo.... Unaonyesha upendo kadiri inavyowezekana..... Yaani unatumia nyezo zote ulizo nazo kwanza kumfanya yule umpendae ajue kwamba unampenda... Pili kumfurahisha yule umpendae [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kijana hongera kwa UbingwaKumekuchaaa salamaaa??
Anko binamu nakusalimiaa ...
Uko poa lakini shemelaSawa shemela
Mama JJ za jioniShikamoo pole na maandamano
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kumbeee
Vip shemela, na wewe unachezea hiyo timuNaona ameshakuja kukudanganya danganya my love tumo, my swii tumoo mama wawili
Hiyo timu kiboko aiseeEndelea kudanganywa tu mama hakuna namna
Duh ni wewe kweli, au kuna mtu kavamia account yakoKila la heri mpaka ukutane na bango sikutakiiiii ndio utageuza njia
Hivi amepinda ehee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yaani mjukuu sijui lini utanyooka!!!!!????
Nipo nimejaa teleWe mkubali T tu.... Baba wawili kashatekwa humu humu..... Sasa atabadili Id.... We subiri tu.
Kumekuchaaa salamaaa??
Anko binamu nakusalimiaa ...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Aje achague gari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mjukuu kakubali kukundwa
Atatuma kwenye halotel yako [emoji1] [emoji1]Khaaaaaa ebu tuna mahela kwanza kwa sakayo tujue mahela yapo
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Najua sijamiss vingi humu maana wikend iliniweka kitandani nashindia uji wa malimau na ukwaju.
Nawasalimia wote na kuwapongeza kwa kumaliza wikend vizuri
FYI: Chama langu limebeba ubingwa wa VPL