Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,786
HahahaaNasubiri kula daku
HahahaaNasubiri kula daku
Hahahaa anazingua...ila babu wa shunie we unampenda mjukuu wako upendo upi?Bora uniulizie Jamani... Tangu lini mjukuu akaacha Kumpenda babu yake?
Toka lini upendo ukawa na dizaini.... Upendo ni upendo.... Unaonyesha upendo kadiri inavyowezekana..... Yaani unatumia nyezo zote ulizo nazo kwanza kumfanya yule umpendae ajue kwamba unampenda... Pili kumfurahisha yule umpendaeHahahaa anazingua...ila babu wa shunie we unampenda mjukuu wako upendo upi?








Toka lini upendo ukawa na dizaini.... Upendo ni upendo.... Unaonyesha upendo kadiri inavyowezekana..... Yaani unatumia nyezo zote ulizo nazo kwanza kumfanya yule umpendae ajue kwamba unampenda... Pili kumfurahisha yule umpendae![]()


nimeuliza hivyo kwasababu naona shunie anaukwepa upendo wakoHahahaUnaona eeh.... Yaani nafanyiwa roho mbaya tuuu... Tena mtu wa kwetu![]()
Shikamoo pole na maandamanoKumekuchaaa salamaaa??
Anko binamu nakusalimiaa ...
Sawa shemelaNzuri shemela, makeke ya jf
KumbeeeNgombe hazeeki maini
Mm siyataki baki na mahela yakoHa ha ha ha ha ha.... Mahela yapo.... Wewe mtumiaji ndo umekuwa adimu
Ulikuwa hujui mjukuu wangu?Kumbeee
Nazingua nn mmHahahaa anazingua...ila babu wa shunie we unampenda mjukuu wako upendo upi?
Sivyo hivyo mjukuu wangu.... Isije ikawa mkataa pema...............!?Mm siyataki baki na mahela yako
Here is your word for today:
Verse: Genesis 41:16
'It is not in me; God will give...'
- There are some things that we do not have the answers for.
- But God, Who knows all things, can give the answers that are needed.
- We should not look to man for all the answers we are looking for.
- The Lord will give what is needed in your unique situation.
PRAYER: Lord, thank You that I don't need to find all my own answers. I know that I can look to You, the author and the finisher of my faith, and You will give me what I need the most. Amen.
Have a great week.
Kind Regards


Aiseeeenimeuliza hivyo kwasababu naona shunie anaukwepa upendo wako
Naona ameshakuja kukudanganya danganya my love tumo, my swii tumoo mama wawili
Nilikuwa sijuiUlikuwa hujui mjukuu wangu?