Makapuku Forum

Makapuku Forum

chief " asante sana kwa uhusika wako "" kwakweli jukwaa lilichangamka...karibu tena " usisite kututembelea kupukuz"" next ukirudi utamkuta mdogo wako akiwa mjamzito ""
Taarifa nimempa kuwa asiwe na mtu mhuni kama wewe maana nasikia we ni kijogoo cha kisukuma unadandia tu kuku akiatamia unachanja mbuga

Nashukuru mkuu hapa ni nyumbani kwetu
 
Huyo hapa nikwao jamani
 
Taarifa nimempa kuwa asiwe na mtu mhuni kama wewe maana nasikia we ni kijogoo cha kisukuma unadandia tu kuku akiatamia unachanja mbuga

Nashukuru mkuu hapa ni nyumbani kwetu
unasubiri nini kuondoka..shemeji " mkeo anakusubiri muende..."" siulishaaga mkuu"" mbona bado upo "" maana ABJ wangu kasema haji mpaka wewe uondoke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom