Makapuku Forum

Makapuku Forum

ha hahaaa...aisee"" shemeji nitajie namba yko nikutumie muamala"" nasikia umekwama mazao yamekosa pembejeo ""
Mimi sijawahi kukwama pembejeo hata siku moja

Maana nafanya mandalizi mapema nikisha vuna akiba ndio nakula

Siwezi kula mtaji

Wajinga tu ndio wanakula mtaji

Huo mwamala mtumie yule bibi wa jirani yenu pale nilipita akaniambia hammjali kabisa kama vile sio jirani yenu
 
Naombeni msaada wenu wakuu.
Natafuta sana movie za Kihindi za zamani (1940-2000) zenye good quality na subtitles za Kiingereza.
Nimejaribu kuzitafuta naona nakwama. Uungwana na kuomba msaada kwa wanaojua/fahamu wapi naweza zipata.
Huku mitandaoni hakuna good quality sana (Youtube zimejaa lakini hazina Subtitles)
Msaada mwenye kujua anijuze nawapata wapi wadosi wangu wa kitambo kina Amitabh Bachchan, Dharmendra, Sunny Deol na wengineo watabe orijinali.
Mkuu kukusaidia tu kaweke bandiko lako entertainment
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom