Makapuku Forum

Makapuku Forum

ha ha ha haaaa aiseee"" sawa brother " ngoja niwe mpole nitafanyaje mie ilhali mpini umeshika wewe...lawama zangu zote nazipeleka kwa hackers maana ndio waliosababisha "" mpaka mimi na wewe ""

kwa jina la bwana na kemea hili pepo linalotaka kutugombanisha "" Tokaaaaa"" pepo la hackers tokaaa"" pepo la kutaka nishindwe kumuoa ABJ tokaaa"" kwa jina la bwana yesu bwana wa mbingu na ardhi "" naomba upokee maombi yangu"" ulainishe moyo wa huyu shemeji yangu " uwe laini kama mafuta ya korie "" ayabariki mahusiano Yetu "" yapate kusimama kwenye kilele cha mlima sayuni ..bwana jina lako lihidimiweee....Aaameeeeeen


Tumosa
 
naanzaje kumuacha sasa... hata aje na winch..."" ABJ nakupenda pumzi yngu""
wewe Ni zaidi ya vitu vyote vinavyosifiwa kuwa nivitamu"" upendo wako ndio kitu pekee kinachonifanya nijivunie hii pumzi ...."" nakupnda malkia wangu""'
Woyoooooooooooooo achana na swala la kukulana jamani la mtu na mbebez wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom