Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Ni shemeji yngu kabisa huyukwani " hastahiki ""!?
duuuuhh duuuhh "" masikini kwahiyo anamtafuta mnyonge nae ammegee"" dadeq"" sasa si mmuonee huruma tu""Huyo kanyang'anywa mke so anafuta pa kupunguzia machungu
Nimeona remix ya lughaVipiii tena jamani
msitiri shemeji yko sasa "" kuliko kwenda kusitiriwa na mtu wa mbali asiye mjua " atampa ngoma aisee..Ni shemeji yngu kabisa huyu
Naona taratibu umepata mdau wa lugha yetu
Bado una akili ya jana hujabadilisha eeeehWewe si mwanamke kama wanawake wengine ama?
Nakazia ..haha haaaWewe si mwanamke kama wanawake wengine ama?
Shangaa na ww kaka
Oooohduuuuhh duuuhh "" masikini kwahiyo anamtafuta mnyonge nae ammegee"" dadeq"" sasa si mmuonee huruma tu""
Na ww walewale ukinyang'anywa ABJ utanifata nikusitiri eeeehmsitiri shemeji yko sasa "" kuliko kwenda kusitiriwa na mtu wa mbali asiye mjua " atampa ngoma aisee..
Sijabadilika mimi ...Bado una akili ya jana hujabadilisha eeeeh
Ndio kaka akeNaona taratibu umepata mdau wa lugha yetu
Msikilize " mtoto wa mwanamke mwenzio aisee"" halua hainaga makombo "" madameOoooh
Kwa kweliNaona kapuku imevamiwa na akina
MANIFONGO
AfadhaliSijabadilika mimi ...
Ila jana nilikuwa nakutania bhana..
Lets close that mada.