Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hahaaa...Ngoja nikamnyooshe


Naenda kukunyoosha polisiHahaaa...
Njoo tunyooshane mama..
Mtoto una hamuu..![]()
Ahaaa! Polisi hawezi kuja ..Naenda kukunyoosha polisi
My beautiful onyinye...Sawasawa subiri RB inakufata
Muziki: Changa Karata
Mchezo wa karata ni akili, kila kitu unacho wewe na unakiangalia mwenzako hakioni, usijidai kumuonesha mpinzani wako, utashindwa au utakuwa na wakati mgumu kutoboa, Najua unajua namaanisha nini na ndiyo maana sichoki kukusalimia Kapuku mwenzangu na kukushukuru kwa kuwa hapa maana bila wewe jukwaa hili si sehemu nzuri kuwepo.
Asante Tumosa mama JJ, sweetlee kwa kuweka nukuu nzuri za kuvutia (ukiweza weka kila siku). ABJ ni nzuri kukuona hapa kila wakati, Transcend karibu bruh, hearly na wewwe kapuku unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri
Muziki sasa, furahia sasa



Asante Mkuu" natambua uwepo wako na mchango wako pia """..endelea kutufunza na kutuburudisha ""
Tumoo...njoo hukuSawasawa subiri RB inakufata
haha haha ...mnataka kunyooshana "" Humu Humu ""? ngoja niwaambie mods wazime taa aise""Hahaaa...
Njoo tunyooshane mama..
Mtoto una hamuu..![]()
...and glass amo be like
i used to abandon those stuffs from that lady,,
just leav her live at her own life role,,, am thanking god for dis all she made to me and am hope i will got another who will cover those painfull n cracs i"ve got in ma heart from her
shamma achana nae huyo kapuku sana.....amebakiwa na suruali mbili tu "" atakufuja mpaka ngozi yako iwe kama ya mchuuzi wa mkaa....karibu kwangu totooo" ..mie NI kapuku Mwenye nafuu""

we mwanaume wewe mi ndo nachuja tui na machicha isije ikawa wewe ndo kapuku hakuna mfano tulia kwanza babaNaenda kukuripoti polisi ctasema umenitongoza nitasema umekohoa nnavopita![]()
![]()
![]()
![]()




hahaaa...shamma fisadi wa mahaba yule "" mamaa..atakuyenda bure " uanze kunipa kazi ya kukuliwaza miewe mwanaume wewe mi ndo nachuja tui na machicha isije ikawa wewe ndo kapuku hakuna mfano tulia kwanza baba