Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Sema wooooooozeeeeeAiseee
Sema wooooooozeeeeeAiseee
Asante Mungu dada angu hakukosea kabisa kubadili maamuziI love you my Tumosa![]()
HahahaaaaAsante Mungu dada angu hakukosea kabisa kubadili maamuzi


...
Ili iweje nisemeSema wooooooozeeeee
Tumosaa mama Tumosa x 2
Umeteka moyo wa T x 2
Naomba unipe nafasi x 2
Niwe wako wa ubani x 2
Nitalinda penzi letu milele x 2
Tumooooooosa![]()




haleluya
Kila la heri tuHahahaaaa...
Shemela niache mimi nimemwaga mboga bhana..
Hivi siku zingine unaposemaga kwani inakuwaga je?Ili iweje niseme
Asante shemela ila usichukie bhana..!Kila la heri tu
Asante kwa backup ..nakaziaShamma hakufai
Siwezi chukia mie ndio kwanza nimefurahi sana dada anakuwa na amani ya moyoAsante shemela ila usichukie bhana..!
Weeee kumbee!!!he asante kwa taarifa mwayaaHuyo ndio mwanaume anayekufaa SHAMMA ako na mabebez wengi sana humu jf utaitwa nyakunyaku
Nasema nikijisikiaHivi siku zingine unaposemaga kwani inakuwaga je?
mtoto ana dema dema"" lakini kwakuwa " mimi ni chuguo la Mungu dhidi yake "" ataelewa tuNatumai mambo yalienda vizuri
Asante kwa backup ..nakazia

Amina mamaShamma hakufai
Ndio hivyo au unataka itwa nyakunyakuWeeee kumbee!!!he asante kwa taarifa mwayaa
Amina mama D..Siwezi chukia mie ndio kwanza nimefurahi sana dada anakuwa na amani ya moyo
Woooooooooooozeeeeeermtoto ana dema dema"" lakini kwakuwa " mimi nachuguo la Mungu dhidi yake "" ataelewa tu