amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Morning shemGood morning inlaw
Hope uko good
Morning shemGood morning inlaw
HaleluyaaaaaMimi niko vizuri kabisa.
Mungu ni mwema.
Yule ana matatizo sio bure. Ila nyie wanawake sometimes huwa mnaongea maneno ya ajabu basiHahaaaa eti wamesema alikuwa anokojoa ukwaju coz miaka 12 hajafanikiwa kumtungisha mimba x wife
Nakwambia hadi hii miaka 5 iishe tutakuwa tusha nyookaDuh! Pole sana kaka, taratibu usijali.
HaaaaaYule ana matatizo sio bure. Ila nyie wanawake sometimes huwa mnaongea maneno ya ajabu basi
Haha mimi huwa sipendi kabisa kugombana na mwanamke yoyote yule. Ila sometimes nyie mnazingua basi tuHaaaaa
Kwani Hapo alieongea si Mwanaume??
Acha kuonea wanawake
Yeah anataka kuwaonea aisee na mimi naonaHaaaaa
Kwani Hapo alieongea si Mwanaume??
Acha kuonea wanawake
tuko poa MakapukuMko poa watuu
Poa kabisa issue sukari tuMko poa watuu
@ jimenaTaarifa, chief incharge wa ulinzi jana ulikutwa umesinzia lindo, unastahili adhabu Jimena
Haaaaaa.Haha mimi huwa sipendi kabisa kugombana na mwanamke yoyote yule. Ila sometimes nyie mnazingua basi tu

Tunawasamehe ila tukiachana mnaanza kuongea vitu vya ajabu ingawa sio woteHaaaaaa.
Unajua sie wanawake tunapenda kusikilizwa na kudekezwa
Hivyo tukikosea mtusamehe tu![]()
![]()
Yah Jimena mkuu Alisinzia lindo@ jimena
Hilo neno, hampendi kua on the losing sideHaaaaaa.
Unajua sie wanawake tunapenda kusikilizwa na kudekezwa
Hivyo tukikosea mtusamehe tu![]()
![]()
Sio wote, Asilimia kubwa tunaojielewa tunapenda kujishusha ili mambo yaishe..Hilo neno, hampendi kua on the losing side
Alisinzia kweli?!au alikuwa busyYah Jimena mkuu Alisinzia lindo
