EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Naona story inayotrend now ni ya Gadna G Habash na X mke wangu.mtaani hatuhemi...churaaa!!!!!! churaaaa! Hadi waliojaaliwa vyura hawana amani yaani!
Naona story inayotrend now ni ya Gadna G Habash na X mke wangu.mtaani hatuhemi...churaaa!!!!!! churaaaa! Hadi waliojaaliwa vyura hawana amani yaani!
Pole kwa mfiwa...zaidi pole kwa marehemu...mimi sina msiba wala nini...nawaza chura!Pole tena mkuu, mimi nna vikazi kwa pc mkuu
Uko jotoni ee!
Vip mbu kwani wanapendaga wageni balaa
Kwa vyura mko njema sana nawafahamuPole kwa mfiwa...zaidi pole kwa marehemu...mimi sina msiba wala nini...nawaza chura!
Naona story inayotrend now ni ya Gadna G Habash na X mke wangu.
Asante kaka, naamini tupo pamoja.Pole tena mkuu, mimi nna vikazi kwa pc mkuu
Kwa vyura mko njema sana nawafahamu
Msamehe bure kaka.Gadna choko tu...mtu akimtukana mwanamke namwona mswaki...mama yangu mwanamke pia sijawahi kuwaambia!
Msamehe bure kaka.
Ni kweli lakini ni ngumu kumbadilisha mtu kwa mtazamo alionao.Bro..mimi ni mwanaume japo si wa Dar..tuwaheshimu wanawake bwana...ni mamazetu/dadazetu!
...Ni kweli lakini ni ngumu kumbadilisha mtu kwa mtazamo alionao.
Hebu pita kushoto kaka
..........
Hapana kaka, sina maana hiyo. Nisamehe bure, ila nimemaanisha ya kwamba kwa huyo Gadna na tabia yake ya kumtukana X mke wake. Nimekuomba uachane nae maana watu tunatofautiana kifikra.Unanitimua siyo?