Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmeukimbia kumbe halafu mbona haunishkuru kwa kazi kubwa niliyofanya hujui tu kazi niliyoipata mpaka akakubali
Yani nisameh bure tu[emoji23] [emoji23] [emoji23],ila yule mwanamke anamisimamo sijapata kuona mimi,unajua nilishangaa sana mana hata sikutegemea kabisa
 
Yani nisameh bure tu[emoji23] [emoji23] [emoji23],ila yule mwanamke anamisimamo sijapata kuona mimi,unajua nilishangaa sana mana hata sikutegemea kabisa
Achana kabisa na yule mtu mpaka kukubali nimefanya kazi kubwa sana mpaka alivyoona nimekasirika ndio akakubali tunabembelezana tu swala hilohilo
 
Back
Top Bottom