Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
Nakusalimia.Your wellcome mumy
Nakusalimia.Your wellcome mumy
Mimi pia nimewahamu sana kwakweli.
Halafu naona sura mpya tu humu![]()
![]()



sura mpya ndio zinatawala jukwaaa sura ngeni hazipo
Binamu jamani..hili nalijua kabisa wala usidhani sijui
Slim za wewe jamaniNakusalimia.
Mweeee binamu huyo mmiliki wa fb kumbe bwana mdogo tuHuwa ninapenda miziki fulani hivi ambayo huwa inaniondolea sifa yangu ya kuwa kijana na kuniweka kuwa mzee kijana. Nasema hivi kwa nini, kuna hawa wanamuziki wawili. Frank Sinatra na BB King walifariki tarehe kama ya leo miaka tofauti
BB King alifariki 2015, ni gitaa na ushairi wake ndo ulinifanya nimpende na kuupenda muziki wake
Frank Sinatra- huyu ana asili ya Uitaliano, ni maarufu kwa wale watu wa zamani lakini kama mpenzi wa muziki, Sinatra utampenda, alikuwa ni kipenzi cha wadada wa enzi hizo.
Hapa anaimba na Armstrong, unataka muziki gani mwingine tena wa Blues kama hutawasikiliza nguli hawa!
Oh, kabla sijamaliza, leo kazaliwa mjasiriamali na mmiliki wa Facebook, alizaliwa mwaka 1984. Wakati mwingine unaweza kujiuliza kuchagua elimu/kukaa madarasani ndo umaskini wako
![]()
Kwa sasa niko vizuri dadake nimepata tibaUnaendleaje kaka ake
Njaa haimuumi huyoKhaaaa uko unawaza watoto wazuri tu
hahaa...hapa na maanisha Masada walimbwende mkuu..achana na hao wanaoweza msababishia mtu kifungo cha maisha mpaka cha miaka 30 jela..watoto wazuri wapo na jela zipo pia. labda kama sijui watoto wazuri unamaanisha nini?
hahaa...hapa na maanisha Masada walimbwende mkuu..achana na hao wanaoweza msababishia mtu kifungo cha maisha mpaka cha miaka 30 jela










sasa nifanyaje ""? kwa hiyo kama nasikia njaa ndio siruhusiwi na kuwaza warembo"" wewe wacha niwaze tu" maana Hawa nikiburudisho huwenda wakanipunguzia ukali wa njaa niliyonayoKhaaaa uko unawaza watoto wazuri tu
Mimi pia naona nimekuwa mgeni sasa,wapi Sakayo kubwa la maaduisura mpya ndio zinatawala jukwaaa sura ngeni hazipo
Toka mjomba ako aende kwenye maandamano na aunt yko ameanza kuchanganyikiwa..hili nalijua kabisa wala usidhani sijui
sasa nifanyaje ""? kwa hiyo kama nasikia njaa ndio siruhusiwi na kuwaza warembo"" wewe wacha niwaze tu" maana Hawa nikiburudisho huwenda wakanipunguzia ukali wa njaa niliyonayo






Lenu moja eeehmbavu zangu mie
ha haha njaa ya uma mkuu"" lakini wanawake nikiburudisho ...wanapumbaza...kama umepanda daladala ukikutana na mtoto mzuri waweza kupitiliza kitu...so umeona nguvu ya Hawa watu jinsi ilivyo haina tofauti na gravitation force ""Njaa haimuumi huyo