Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,043
duuuh" mbalizi mbona " una chat na mtoto mzuri hivyo " halafu haunishtui"" duuh ""





duuuh" mbalizi mbona " una chat na mtoto mzuri hivyo " halafu haunishtui"" duuh ""





Jana uliniambia shikamoo mjini mwikoKauli ipi tena
Shikamoo binamu akutag ili ugundue nn...nimepokea salamu yako binamu na usinipe pole, nipe hongera kwa mambo yote.
Hongera sana maana ulikuwa na wikend ya kutongozwa san, ukimkubalia anayekutongoza nitag
Mfyuuuuuuuuuu![]()
![]()
aunt yko anataka nifanye kama yy binamu
Asante sana binamu yanguMuziki: Juma La Ramadhani
Tumeianza Jumatatu hii na nikusalimia Kapuku mwenzangu na kukukupa hongera kwa kuimaliza wikend, haijalishi ilikuwaje kikubwa tu ni kuwa upo hapa na kama kawaida, ni jambo zuri kukuona hapa maana Jukwaa hili lafaa nini usipokuwepo?
Nilikuwa na wakati mzuri na hasa mambo ya Simba- the Champs- This is Simba bhana kwa hiyo roho ilikuwa imetulia kabisa na mwili ukawa na shauku zaidi ya kutaka stahili yake.
Muziki sasa, leo tunaenda taratibu tu bila fujo, furahia muziki maana muziki ni burdani
Huyo mbalizi wa kijijiniJana uliniambia shikamoo mjini mwiko
duuuh sawaHuyo mbalizi wa kijijini
mkuu" asante sana...namimi mni hesabu rasmi kuwa ni kapuku..tena mie ni OG...Mchana sijala..hata huu usiku sinauhakika pia...na taka kushushia grass ya Maji hapa...nishushe net "" nilale ""Karibu sana hearly
Sawa kaka akee kwahiyo anastahili shikamooduuuh sawa
Shikamoo binamu akutag ili ugundue nn
mkuu" asante sana...namimi mni hesabu rasmi kuwa ni kapuku..tena mie ni OG...Mchana sijala..hata huu usiku sinauhakika pia...na taka kushushia grass ya Maji hapa...nishushe net "" nilale ""




















woyooooooooo karibu sana yaani sana jisikie upo nyumbaniSawa dadakeSawa kaka akee kwahiyo anastahili shikamoo
...hata najua basi, wagunduzi wote walishakufa zamani. me wanaitag tu maana sitaki kugundua chochote










haina " noma..nimeshawasili"" ...ila Watoto Wazuri wapo ""?woyooooooooo karibu sana yaani sana jisikie upo nyumbani
mkuu" asante sana...namimi mni hesabu rasmi kuwa ni kapuku..tena mie ni OG...Mchana sijala..hata huu usiku sinauhakika pia...na taka kushushia grass ya Maji hapa...nishushe net "" nilale ""
hahaa...kwakweli leo upepo nitakula haswaaa"" Nipo hapa nahesabu kenchi...oh, basi wewe kula upepo hayo mengine anasa