Hahahaa sawasawa ila isije kuwa alieuziwa cheni bandia naye alitoa hela bandia kwa hiyo ngoma drawHahaa.. Mimi mwenye ni mtu nisyejulikana ninaejulikana![]()
![]()
Mzma tu ila macho yananisumbua![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Husna weye, nilikumisi kweli kweli ndugu yangu..
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.
Sijui nikukumbatia sijui nikubebe, kila nikija humu we haupo nikakusaka kila kona sikuoni,
Vipi lakini mzima ndugu yangu!?
GoodHili jukwaa sijaingia muda mrefu mpaka nilianza kupotea leo nitashinda hapa
Tuko poa shikamooHivi mko poa huku jamani
Shikamoo jamaniAcha ushushu tuwaite wadau waje
shululu
Shunie
Sakayo
EMMYGUY
Youngblood
Tumosa
BlessedHope
eden kimario
sumbai
@Quigley
WoyoooooooooooHooooodiiiiii huuuuuumu
MhKaribuu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
AiseeeShunie akee we acha tu!! Sikutishi mpenzi ndio hali inayonisibu kwa sasa.
![]()
![]()
![]()
Mfyuuuuuu zakoBwege mtozeni wee![]()

Kisambaa hiko hakina tofauti na kizigua maka akee si unajuwa mkoa mmojaShunie akee hiki ni kizigua eeh!!
Mbina km kimefanana na kizaramo kidogo na kipare kidogo!?
Pole sana jamani tumekumiss mnoooooMzma tu ila macho yananisumbua
Hujaacha huu mchezo Wa kusema "fmfyuu...*Mfyuuuuuu zako![]()
Woooooooozeeeeeeeerrrr omarion ukujeeee

Asante ,nimewamis pia ila nitakuwa naingia kwa machalePole sana jamani tumekumiss mnooooo
Naanzaje kuacha jamani na wakati ndio signature yanguHujaacha huu mchezo Wa kusema "fmfyuu...*
Ngoja akuje jamani alikuwa anakuulizia
Jamani imefikia hivyo kwahiyo unavaa miwani aisee pole mnoo Mungu akufanyie wepesi urudi kwenye hali yako mamy tunakupendaAsante ,nimewamis pia ila nitakuwa naingia kwa machale
Naogopa kuchkkoza ugonjwa
Yaani hata story nimeacha kusoma
Haahaa haaha ..,naonaaaNaanzaje kuacha jamani na wakati ndio signature yangu