makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,430
- 108,449
Poa kabisa, hazard wa uchagani.Hivi mko poa huku jamani
Poa kabisa, hazard wa uchagani.Hivi mko poa huku jamani
Umesharudi toka Tabora mkuu?[emoji12]We ninong'oneze jina lako la utotoni..
Hahaa... Nimerudi mkuu, nikaenda tena na nimerudi tena mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umesharudi toka Tabora mkuu?[emoji12]
KaribuuHooooodiiiiii huuuuuumu
Karibu mama'a mikazo!!Hooooodiiiiii huuuuuumu
Basi peruzi pm zako ujue uliteta na nani halafu kula[emoji40]Hahaa... Nimerudi mkuu, nikaenda tena na nimerudi tena mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaa.. Haina haja ya kuenda pm maana watu wenyewe pm ninaowasiliana nao ni wakuhesabika mnooo..Basi peruzi pm zako ujue uliteta na nani halafu kula[emoji40]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahahaa.. Haina haja ya kuenda pm maana watu wenyewe pm ninaowasiliana nao ni wakuhesabika mnooo..
Wewe si [emoji87] [emoji87]
Aaah!! Kumbe nimeambiwa nile [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Lilitaka kunitoka mkuu shamma!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio maana hapa hukuwepo, sasa mie nikawa najiuliza huyu naniliu mbona hapa jina lake hakuna, ila nikahofia kulisema[emoji23] [emoji23]Acha ushushu tuwaite wadau waje
shululu
Shunie
Sakayo
EMMYGUY
Youngblood
Tumosa
BlessedHope
eden kimario
sumbai
Ongezea
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mi nipo hapa naona kaubishi kanaendeleaAcha ushushu tuwaite wadau waje
shululu
Shunie
Sakayo
EMMYGUY
Youngblood
Tumosa
BlessedHope
eden kimario
sumbai
@Quigley
Makaveli 10 habar yakoPoa kabisa, hazard wa uchagani.
Ni poa jamani za weweMamiiii... Niajeee
Khaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikataza kabisa tena ni uchochezi mkubwa mtafungwa mtupe shida[emoji23][emoji23][emoji23]uwiiiiiiih.. Hivi ndo ulisema baba wa taifa alikataza kuongea kihindi humu ee
MfyuuuuuuNtaenda kufukua makaburi yenu na babu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hako kaongo kenyewe ukikakuta na babu utackia ane nakukunda
hicho sio kihindi kwani
Safi mamy za wewe karibu sanaHabari za Asubuhi wapendwa wa Mungu.