makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,015
- 104,606
Nipo hapa kwa Dr Mvungi ryt nowSio mm binamu slim ndio mtoto wa kino
Najijua. kunguru Mwoga hukimbiza bawa lake
Kweli. Mkuu usiku huu tusizungumzie mambo za.kifoIla kifo ni safari isiyo na marejeo.
Uko unafanya nnNipo hapa kwa Dr Mvungi ryt now
Ndio na mm nashindwa kushangaaMh mm jamani naanzaje kukutupa mtoto wa kinondoni
Siwezi kukutupa hata siku moja jamaniNdio na mm nashindwa kushangaa
Kuna mpendwa hapa afya yake imetetereka, nipo kushow loveUko unafanya nn
Tunakupenda pia shemela Mungu akufanyie wepesiUsiku mwema ndugu zangu, nawapenda wote.
Poleni sanaKuna mpendwa hapa afya yake imetetereka, nipo kushow love
Pole shemeji ynguAheri ningekuwa mgonjwa shemela, madhira tu ya dunia, maseke yameniandama.
Ahsante sana.Poleni sana
Yaani ingeniuma sanaSiwezi kukutupa hata siku moja jamani
Huwezi kuumia mm nipo jamaniYaani ingeniuma sana
Uchunguzi muhimu. Hizo sio tabia za kunguru...kunguru mwoga labda wa hapo ulipo, juzi nimemwona 'askofu' kavaa nguo nyeupe kunguru akamnyea, halafu kunguru akaweka pozi kwenye waya wa umeme. Hapo sijawaongelea wale kunguru wa Zanzibar
Ahsante. Mungu akubariki sanaHuwezi kuumia mm nipo jamani
Akubariki na wewe pia slim jamaniAhsante. Mungu akubariki sana
Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweliAkubariki na wewe pia slim jamani
Kama mm na wewe vileAkufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli