Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
Ndo mana sikutupi. Wanasema ukishikwa shikamanaKama mm na wewe vile
Ndo mana sikutupi. Wanasema ukishikwa shikamanaKama mm na wewe vile
Ndio mana kakupenda mieNdo mana sikutupi. Wanasema ukishikwa shikamana
Always besides you (nisamehe km nimetukana. Haya maneno nimekariri tu)Ndio mana kakupenda mie
Always besides you (nisamehe km nimetukana. Haya maneno nimekariri tu)





nimechekaNimekukumbusha wapi?nimecheka
Usicheke kwa nguvu, wengine wamelala mida hii!nimecheka
Slim una vituko mnooNimekukumbusha wapi?
Acha na mm nilale basiUsicheke kwa nguvu, wengine wamelala mida hii!
Kidogo. Sio sanaSlim una vituko mnoo
Kino Si unapajua lkn?Slim una vituko mnoo
Ahsante shemeji yangu.Pole shemeji yngu
Amin, rabil'allahmin shemejiTunakupenda pia shemela Mungu akufanyie wepesi
Vyovyote itakavyokuwa ni costant, hakina muda maalumu., muda ukitimu umetimu, kinaweza kuja lukwili kabla jogoo hajanya!!Kweli. Mkuu usiku huu tusizungumzie mambo za.kifo
Anaweza kuangukiwa hata na nguzo ya umeme.Asimamae kando, haangukiwi na mti

...kunguru mwoga labda wa hapo ulipo, juzi nimemwona 'askofu' kavaa nguo nyeupe kunguru akamnyea, halafu kunguru akaweka pozi kwenye waya wa umeme. Hapo sijawaongelea wale kunguru wa Zanzibar




Sheikh umenichekesha, btw nambie vipi lkn masaibu umefanikiwa kuyavuka Mkuu?Anaweza kuangukiwa hata na nguzo ya umeme.![]()
![]()
fanya sana subira kaka!Amin, rabil'allahmin shemeji