Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,047
Amesema condom jamani maka akeeAahh!!! Hiyo maana yako ww sasa, kwani yeye kataja tatu bomba!!?![]()
![]()
![]()
Amesema condom jamani maka akeeAahh!!! Hiyo maana yako ww sasa, kwani yeye kataja tatu bomba!!?![]()
![]()
![]()
Mjumbe hauwawi shunie akeeWewe ndio umeuleta huo ujumbe
Bwana usiwe hivyoHhmm.. We acha tu shunie akee!!
Sawa bwanaMjumbe hauwawi shunie akee
KaribuMana mkaa bure sio sawa na mtembea bure!
Aahh!! Hivyo hivyo tu,namshukuru mungu.Hbr ya cku
Mbona kinyonge umgonjwaAahh!! Hivyo hivyo tu,namshukuru mungu.
We shunie wewe, acha tu shunie akeeBwana usiwe hivyo
Umentupa sanaKaribu sana jirani yake dada
Sijui nimuelezeaje, zaidi zaidi nitakuwa kama namtusi hivi.
Kasema kondombu, we condom umeisema wewe, au kondombu na condom ni sawa!?Amesema condom jamani maka akee
hapana binamu kama mama kakupenda naanzaje kukuharibia jamani
Tatizo hata tukiweza kumuelezea yatatukuta tu!!...jamaa ni ngumu kumuelezea maana kazungukwa na wanafiki ambao ni kama wana dunia yao peke yao ndani ya nchi. haijulikani kama jitihada hizi anazofanya ni za kujenga uchumi mkubwa au uchumi mdogo?
Wenzake kina Ben (uchumi mkubwa- Barabara na Kiwanja etc) JK (mixer ya Maco&Micro- Barabara, mashule) walisambaza ajira kama mvua, huyu hata hajulikani anajenga uchumi gani, na kinachoonekana dhahiri ni contaction kwenye uchumi (makampuni kupunguza wafanyakazi, hasara kwa mabenki kwa sababu watu uwezo wa kununua umeshuka, mishahara haiboreshwi)
Ngoja nami nishindwe tu kumuelezea kama wewe papa mopao mutu ya Mjimwema kwenye majumba ya mawe na bustani
Nimekumbuka mwenda TEZI na omo, marejeo ni Ngamani