makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,019
- 104,625
Usiku mwema ndugu zangu, nawapenda wote.
Kweli mkuu...si ndo wanasemaga usisahau mbachao kwa msala upitao
Aheri ningekuwa mgonjwa shemela, madhira tu ya dunia, maseke yameniandama.Mbona kinyonge umgonjwa
Aiseee unatutisha maka akee tuambie basi jamani hata kidogo tuWe shunie wewe, acha tu shunie akee![]()
![]()
![]()
Hayaelezeki kiurahisi.
Mh mm jamani naanzaje kukutupa mtoto wa kinondoniUmentupa sana
Ila kifo ni safari isiyo na marejeo.Na safari sio kifo
Kasema kondombu, we condom umeisema wewe, au kondombu na condom ni sawa!?





yani weweUsiku mwema ndugu zangu, nawapenda wote.
Siwezi kukuharibia mm...ndo hata wewe ushangae sasa.
Na kwako pia maka akee tunakupenda pia Mungu akufanyie wepesi kwa yote unayopitiaUsiku mwema ndugu zangu, nawapenda wote.
Nashkuru mkuu.ulale salama mdau. Asante kwa kubadilishana mawazo. Always, Kapuku inakuwa sehemu nzuri kwa sababu wewe upo
Mh mm jamani naanzaje kukutupa mtoto wa kinondoni
Amani ya muumba iwe nawe.ulale salama mdau. Asante kwa kubadilishana mawazo. Always, Kapuku inakuwa sehemu nzuri kwa sababu wewe upo
Sio mm binamu slim ndio mtoto wa kino...oh, kumbe wewe ni mtoto wa kinondoni? Hapo kindondoni napo ni mjini, mnapataga 4G au
Ahsante shunie akeeNa kwako pia maka akee tunakupenda pia Mungu akufanyie wepesi kwa yote unayopitia