Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,287
- 35,678
Kingamvua ndio nini binamu
...zipo ndude fulani hivi, sijui huko kwenu huwa mnaziitaje, huku mkoani wanauhaba wa maneno wanaziita kondombu eti kingamvua ni neno refu sana
Kingamvua ndio nini binamu
Ila kwwangu ni tuuu machi!! Nina maseke shunie akee, mpaka mwili umepururuka..Hizo za kawaida jamani maka akee
Asiejua maana eti haambiwi maana, sio mimi lakini.Kingamvua ndio nini binamu
Oooh kumbe ulikuwa unamaanisha 3bomba...zipo ndude fulani hivi, sijui huko kwenu huwa mnaziitaje, huku mkoani wanauhaba wa maneno wanaziita kondombu eti kingamvua ni neno refu sana
Hawa walikuwa wakiupiga muziki hasa....yeah, muziki muziki kweli. Huwa nafurahishwa na huyu mbabu mpiga gitaa, nilikuwa naenda viwanja vya leaders angalau kupata burudani ya muziki halisi
Jamani maka akee pole mnooo Mungu akufanyie wepesi kila kitu kiishe urudi kwenye hali ya kawaidaIla kwwangu ni tuuu machi!! Nina maseke shunie akee, mpaka mwili umepururuka..
Hahahah hata wewe kweliAsiejua maana eti haambiwi maana, sio mimi lakini.
ha hahaha , huwa nikiona boti moja huwa nakumbuka mbali sana, kichochoro cha Lebanon polisi haendi hadi wawe 7, huduma zote mumo kwa mumo

ha hahahhaha, hizi mvua imebidi kupunguza urutubishaji maana shawa (shower irrigation) kipindi cha mvua wotatebo inapanda juu sio mafuriko hayo ndo maana navaa kingamvua

Sio mimi lakiniHahahah hata wewe kweli
Hbr ya ckuNiambie shemela.
Amin, inshaallah ndugu yangu.Jamani maka akee pole mnooo Mungu akufanyie wepesi kila kitu kiishe urudi kwenye hali ya kawaida

Wewe ndio umeuleta huo ujumbeSio mimi lakini
Aahh!!! Hiyo maana yako ww sasa, kwani yeye kataja tatu bomba!!?Oooh kumbe ulikuwa unamaanisha 3bomba

Amin, inshaallah ndugu yangu.
![]()
![]()
![]()

yatakwisha bwana usikae kinyonge hivyo
Karibu sana jirani yake dadaNgoja leo niweke KITUO humu labda naweza ambulia chochote kitu!
Hhmm.. We acha tu shunie akee!!yatakwisha bwana usikae kinyonge hivyo