Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,020
Hahah!!Naona ni mwendo wa kubebishana tu
Hahahaaaaaaa
kumbe huwa unatokea huku mkuu?
Hahah!!Naona ni mwendo wa kubebishana tu
Hahahaaaaaaa
Nazipokea na uchoyo wao siangalii hahahahaaaaaaShikamooo zenu hizo zinakatisha watu tamaa sana
Marhaba binamu, nipongeze, usinipe pole maana nilikuwa na wikend safi sana, tarehe za mshahara hizi. Mambo mengi yalikuwa sawa sijui kwenu na bday ya mumeoBinamu shikamoo pole na mambo yote
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nataka mma(water! water!)
Hhahahahaaaa
Hahah!! AsantePole
Sakayo hanipendiHizo mambo za kucheka umenifanya nimkumbuke dada angu sakayo [emoji3]
Anarukaruka tu huyo nae, kama maharagwe yanachemka kwenye chunguNilishangaa uliposema huna cha kumpa ilihali unaweza kumpa maji ya kunywa
Karibu sana kijiweni muhunge Obe[/QUOTE
Pamoja sana mdau, muhunge ni Kinyarwanda au Kiha?
Nimesema woteTusubiri wahenga waje waitikie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nazipokea na uchoyo wao siangalii hahahahaaaaaa
Nilikuwa najihisi upweke upweke, nilivoona hii comment yako mwili umechangamkaCjambo mbalizi za ww
Binamu yangu shikamoo jamani
Chakumpa niko nampa Davet tu wengine shikamoo ndio size yenu [emoji3]Mngh!
SawaNimesema wote
Sasa jamani tamaa ya niniShikamooo zenu hizo zinakatisha watu tamaa sana
Kwema mkuuShikamoo wote
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa madai yake eti hayajachemshwa!
Hataki maji huyoNilishangaa uliposema huna cha kumpa ilihali unaweza kumpa maji ya kunywa