Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: andika Barua, SLP

Nikusalimie na kukutakia usiku mzuri, ndo kawaida yangu mara zote maana naamini kujuliana khali ni jambo zuri kwa nafsi yangu. Ni jambo zuri kwa nafsi yangu kwa sababu wewe mbali ya kuwa kapuku, bado ni rafiki yangu na hivyo nakuchukulia kama nafsi yangu ya pili ya kwanza ikiwa ni mimi na ya pili ni wewe.

Nilimwandikia barua anko wangu leo, sababu ya kumuandikia ni kuwa kila nikimwandikia email katibu muhutasi wake ndo anazisoma na kunijibu yaani huwasilisha ujumbe kwa anko wangu Lyon Lee ambao sijakusudia. Sasa kumaliza uzia nimeona niandike barua, ujue unapoandika barua na kuituma kwa njia ya posta , mlengwa ndo anaifungua. Jaribu uone. Dhumuni la barua ilikuwa ni malalamiko ya mama mjumbe kwamba anko kamtelekeza baada ya kumtekelezea mwili wake.

Muziki sasa, tuburudike na nikukumbushe tu kuwa ukitaka kufikisha ujumbe kwa mtu mwenye dhamana kwenye taasisi yoyote, andika barua.

Muziki wa Mdhamini: Kuelewa ni Mchakato

Usije ukadhani unaweza kuelewa mara moja tu kama hujataka kutulia na ikiwezekana kuuliza maana, huu ndo ujumbe wa mdhamini wetu wa leo Transcend ambaye anaamini kabisa kuelewa ni mchakato. Anapenda songi hili limburudishe wake wa ubani waliyekuwa wakinyonyana ndimi kwenye fence na kuteleza wakati akimpelekea mafuta (msidhani huwa sisomi) naye si mwingine ni Sakayo

Hahahaaa
 
Asante Obe Ubarikiwe
 
Waoooo asante Obe kwa muzki na T wa Sakayo kwa kuchagua umenigusa ba nimewamis sana salaam kwa binti yangu mpendwa Sakayo
 
Muziki wa Mdhamini: Kuelewa ni Mchakato

Usije ukadhani unaweza kuelewa mara moja tu kama hujataka kutulia na ikiwezekana kuuliza maana, huu ndo ujumbe wa mdhamini wetu wa leo Transcend ambaye anaamini kabisa kuelewa ni mchakato. Anapenda songi hili limburudishe wake wa ubani waliyekuwa wakinyonyana ndimi kwenye fence na kuteleza wakati akimpelekea mafuta (msidhani huwa sisomi) naye si mwingine ni Sakayo

Asante sana Binamu Obe..

Wacha tujicheketue na Sakayo wangu ...
 
Wivu umewajaaa
Yes love..
Umeshibaa dear ??
Wivu wa nini tena? Tatizo lao nini?
No mpenzi sijala bado
Wanakuzenguaa tuu ....si wanajua ulivo mrembo
Nyagei kuja hapa ufafanue
Kwa nini swty
Mwambie Nyagei nimekuja
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Namalizia kazi kwanza
Jitajihid ule mamy
Sawa baby
Mnanichanganya tu mie
Habari zenu ndugu wa familia pendwa
 
[emoji524]TUOMBE

Baba MUNGU Wa mbinguni katika jina la YESU KRISTO , tunazileta shukrani zetu kwako eee Baba ,, tunasema ahsante kwa kutuamsha salama ,leo ALHAMIS tarehe 1 MACHI 2018, Mungu umetulinda usiku mzima na mwezi mzima wa pili.

Umetuponya na kutuokoa na kazi za adui yetu ibilisi ,,zaidi ya yote BWANA YESU umetupatia ushindi juu ya maadui zetu ,

Ahsante BWANA YESU , kwa Neema yako , kwa upendo wako , na rehema zako
MUNGU WETU UISHIE MAHALA PA JUU KABISA KATIKA JINA LA YESU tunaomba Mungu utusamehe dhambi na maovu yetu , utupe Neema ya kuwasamehe wale walio tukosea sisi pia ,
Tunaomba utuongoze katika njia zako eee Bwana , tusaidie tupate kuyatimiza mapenzi yako Mungu ,
Tutangulie maofsini na katika njia zetu BWANA YESU ,
Neno lako likawe ni mwanga na Nuru ya miguu yetu ,, tunaomba BWANA YESU ukafanyike Baraka kwetu , ibariki siku hii ya Leo BWANA ukaifanye itutumikie ,

Bwana Yesu tunaomba utuponye katika kila jambo ,damu yako itufunike na kutulinda ,, ROHO MTAKATIFU TUFUNDISHE KATIKA KWELI YOTE NA HUO UKAMILIFU ,
Tumeomba yote na kuamini katika jina la YESU KRISTO ,,Amen[emoji1374][emoji1374][emoji1374][emoji1374]

NAWATAKIA MWEZI WA BARAKA WA MACHI KWETU SOTE.
 
Back
Top Bottom