Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524]TUOMBE

Baba MUNGU Wa mbinguni katika jina la YESU KRISTO , tunazileta shukrani zetu kwako eee Baba ,, tunasema ahsante kwa kutuamsha salama ,leo ALHAMIS tarehe 1 MACHI 2018, Mungu umetulinda usiku mzima na mwezi mzima wa pili.

Umetuponya na kutuokoa na kazi za adui yetu ibilisi ,,zaidi ya yote BWANA YESU umetupatia ushindi juu ya maadui zetu ,

Ahsante BWANA YESU , kwa Neema yako , kwa upendo wako , na rehema zako
MUNGU WETU UISHIE MAHALA PA JUU KABISA KATIKA JINA LA YESU tunaomba Mungu utusamehe dhambi na maovu yetu , utupe Neema ya kuwasamehe wale walio tukosea sisi pia ,
Tunaomba utuongoze katika njia zako eee Bwana , tusaidie tupate kuyatimiza mapenzi yako Mungu ,
Tutangulie maofsini na katika njia zetu BWANA YESU ,
Neno lako likawe ni mwanga na Nuru ya miguu yetu ,, tunaomba BWANA YESU ukafanyike Baraka kwetu , ibariki siku hii ya Leo BWANA ukaifanye itutumikie ,

Bwana Yesu tunaomba utuponye katika kila jambo ,damu yako itufunike na kutulinda ,, ROHO MTAKATIFU TUFUNDISHE KATIKA KWELI YOTE NA HUO UKAMILIFU ,
Tumeomba yote na kuamini katika jina la YESU KRISTO ,,Amen[emoji1374][emoji1374][emoji1374][emoji1374]


NAWATAKIA MWEZI WA BARAKA WA MACHI KWETU SOTE.
Amen
 
Jaman Lyon Lee akija atakusahau mambo anayoyapenda haya chocolate colour
Mimi sijambo shemeji wangu
Sawa shemeji umejimbia wapi maana huonekani
Woo-hoo kumbee ndo udhaifu wake ee
Salama tu kaka akee nina alerg na hizo shikamoo
Ndio udhaifu wake huo ngoja akuje
Naona umeshangilia kama vile nakuona
[emoji144]
780aaa04e566d9c4d47ee7f7beb6d88e.jpg
 
Back
Top Bottom