Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tafasiri Unavyoweza: Swali na Masahihisho

Usije ukadhani kuwa kila swali lina hitaji majibu, usitegemee utakutana na hali ya jana kila siku maana jana na leo ni siku mbili tofauti na kwa kuwa ni mbili basi sahau kuona moja jumlisha moja u=inakuwa tatu na si mbili. Kwa kwa kuwa moja na na moja ni mbili na wala si tatu kwa kujumlisha basi hoja yangu ya kutafasiri inasema kuwa si kila swali linahitaji majibu, maswali mengine yanahitaji marekebisho na si majibu.

Unaweza kujiuliza kwanini pamoja na kuwepo kwa rasilimali chekwa kwenye taifa letu bado umaskini uliokithiri unatamalaki na kumea kama uaridi kwenye samadi. Hapa kujiuliza swali ukitegemea majibu ni kujidanganya na kujilisha upepo tu, swali unalojiuliza ni lazima ulirekebishe kwanza, lifanyie masahihisho ndo liwe swali vinginevyo linabaki kuwa ni maneno yenye kiulizo badala ya nukta.

Unajiuliza haki yangu iko wapi, unapoteza muda, haki huletewi kwenye sahani. Fuatilian na ndipo utagundua kuwa unapaswa kutafasiri unavyoweza kila ninachoandika na kila unachosoma maana asubuhi ninatafasiri vingine na mchana nikishiba tafasiri ya asubuhi inabadilika. Tumewaona wanaotaka tuwaombee ilihali hawataki kuwauliza tuwaombee juu ya nini na hapa ndo majibu kabla ya swali. Tafasiri unavyoweza
Asante Obe huwa unanifikirishaaa
 
Uwiii Obe...Asante...Asante kwa Upendo..unaniongezea imani kubwa kuwa hapa MUNGU YUPO.NI MARA CHACHE SANA KUPATA WATU WANAOJALI NA KUTHAMINI WENGINE..NISEME UKWELI MAHALI HAPA PAMEKUA FARAJA YA PEKEE MARA ZOTE NAHITAJI KUWA NANYI NA KUSEMA NANYI JAPO NENO MOJA TU LA UPENDO..SIJAWAHI ZUNGUKWA NA UPENDO WA AINA HII WA KILA MTU KUNIJALI,KUFUATILIA,KUFAHAMU NINAVYOJISIKIA NA KUBWA KUNITAMKIA WAZI KUWA NAPENDWA..ASANTE OBE MUNGU AKUZIDISHIE KATIKA KILA HITAJI LAKO,AONGEZE UPENDO ATUSAIDIE TUONGEZE MSHIKAMANO NA UKARIMU...NAKUPENDA OBE...NAWAPENDA MAKAPUKU WOTE MBARIKIWE SANA
Mama

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Amen Amen my Love asante kunitakia amani na birthday njema namshukuru Mungu kunifikisha umbali huu.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253][emoji258][emoji258][emoji258][emoji258][emoji258][emoji258][emoji253][emoji253][emoji253][emoji253] nimemkumbuka mukongo mm jaman angekuwepo kutoa mauwa binamu Mungu anakuona kwa kunipotezea mukongo wa mama
 
Nilipotea muda sana sasa nikaona nipitie kwa uchache tu kati ya mengi, au unataka niendelee? Nina 5 jukwaa's sasa sijui ni lipi kati ya hayo [emoji144] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mambo ya Shunie hayo Nimesamehe baada ya kuandika Pole sana boss
Nakumbuka bandiko moja la shunie...

Hatareee sanaa !
Sijaliona ni lipi hilo boss?
Nililiona kwenye lile jukwaa kabla sujaleft mkuu..
Teh Teh Teh, itabidi nikafanye utalii
Shunie mm jaman ndio nini kwani mnazungumzia
 
Happy Belated Birthday Wishes BlessedHope

Inawezekana heko yangu kwako juu ya tarehe yako ya kuzaliwa imekuja kwa kuchelewa hasa ukiangalia masaa yamepita tangu tarehe ya jana na leo ni siku nyingine tena.

Nakukumbusha tu kuwa Jukwaa hili, yes, Makapuku Forum ni sehemu nzuri sana kwa sababu wewe ni sehemu muhimu ya Jukwaa hili.

Nina mengi ya kuandika juu yako ukurasa huu usitoshe, itoshe tu kusema Heko ya kukumbuka kuzaliwa kwako BH
(
nakupenda sana) na Makapuku wanakupenda pia

giphy-1.gif
Asante kwa kumjaza mama naona umempatia hapo na mkongo anamsahau mazima
 
Uwiii Obe...Asante...Asante kwa Upendo..unaniongezea imani kubwa kuwa hapa MUNGU YUPO.NI MARA CHACHE SANA KUPATA WATU WANAOJALI NA KUTHAMINI WENGINE..NISEME UKWELI MAHALI HAPA PAMEKUA FARAJA YA PEKEE MARA ZOTE NAHITAJI KUWA NANYI NA KUSEMA NANYI JAPO NENO MOJA TU LA UPENDO..SIJAWAHI ZUNGUKWA NA UPENDO WA AINA HII WA KILA MTU KUNIJALI,KUFUATILIA,KUFAHAMU NINAVYOJISIKIA NA KUBWA KUNITAMKIA WAZI KUWA NAPENDWA..ASANTE OBE MUNGU AKUZIDISHIE KATIKA KILA HITAJI LAKO,AONGEZE UPENDO ATUSAIDIE TUONGEZE MSHIKAMANO NA UKARIMU...NAKUPENDA OBE...NAWAPENDA MAKAPUKU WOTE MBARIKIWE SANA
Tunakupenda pia mama yetu [emoji8]
 
Back
Top Bottom