Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wa mwisho kujua wapii wakati unakwepa majukumu binamu wangu .....

Lakini sawa ntafanyajee mimi nshaziandaa zawadii

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app

Majukumu siwezi kuyakwepa maana kuna wengine wakiniona navyomzimia wanaweza wakadhani mbinu mbadala zimetumiaka kumbe ni L. O. V. E ndo imetawala kwangu kwake.

Sasa wewe andaa zawadi nakuja kuzichukua nizipeleke maana huchelewi kutake advantage, na risiti nipatie kabisa ukose sababu
 
Ushaanza mambo yako mimi nimenunua tu muuzajii kanambia siku hizi tr wanawabana nikamwambia wala usijalii haina haja ya risiti sasa naona unanichanganyaa tu hapa ...

Kwanza kesiii bado haijaishaaa ujue
 
Shemela mbona kufukua makaburi[emoji134] [emoji134]
Nilipotea muda sana sasa nikaona nipitie kwa uchache tu kati ya mengi, au unataka niendelee?
Kwenye jukwaa lako pendwa
Nina 5 jukwaa's sasa sijui ni lipi kati ya hayo [emoji144]
Mambo ya dogie sitaili [emoji3]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] mambo ya Shunie hayo
Hahahaa..[emoji3][emoji3][emoji3]

Msamehe baba paroko
Nimesamehe baada ya kuandika
Nimetoka juzi sudan...
Pole sana boss
 
Happy Belated Birthday Wishes BlessedHope

Inawezekana heko yangu kwako juu ya tarehe yako ya kuzaliwa imekuja kwa kuchelewa hasa ukiangalia masaa yamepita tangu tarehe ya jana na leo ni siku nyingine tena.

Nakukumbusha tu kuwa Jukwaa hili, yes, Makapuku Forum ni sehemu nzuri sana kwa sababu wewe ni sehemu muhimu ya Jukwaa hili.

Nina mengi ya kuandika juu yako ukurasa huu usitoshe, itoshe tu kusema Heko ya kukumbuka kuzaliwa kwako BH
(
nakupenda sana) na Makapuku wanakupenda pia

giphy-1.gif
 
Wizi wa nini mkuu?
Hayo maeneo ya public ukifanyiwa surprise hiyo unajikuta umekuwa mpole na unatoa vya kutoa Bila shuruti
Linamo

Kazi unayo shemeji yangu...! Uncle nyagei wants sukari guru pale kwenye ngazi [emoji3][emoji3][emoji3]
Kazi ni ndogo sana hiyo kwake
Weee...

Mchanga ukiingiia wanaliaga balaa..
Hao wanaolia ni watu wa Daslamu hao
Makaburi kuntuu
Hilo ni zaidi ya kaburi maana lilisumbua humu kama katrina
Amen my SON ASANTE BARAKA ZA MUNGU BABA ZITAWALE
Ubarikiwe mama, nipo nawe kwenye maombi
 
Happy Belated Birthday Wishes BlessedHope

Inawezekana heko yangu kwako juu ya tarehe yako ya kuzaliwa imekuja kwa kuchelewa hasa ukiangalia masaa yamepita tangu tarehe ya jana na leo ni siku nyingine tena.

Nakukumbusha tu kuwa Jukwaa hili, yes, Makapuku Forum ni sehemu nzuri sana kwa sababu wewe ni sehemu muhimu ya Jukwaa hili.

Nina mengi ya kuandika juu yako ukurasa huu usitoshe, itoshe tu kusema Heko ya kuumbuka kuzaliwa kwako BH
(
nakupenda sana) na Makapuku wanakupenda pia

giphy-1.gif
Hayo ndo mambo sasa ....sio unabwetekabwetekaaa utakufaa nayo moyoniii
 
...anko, hivi kwanini mimi ninakuwaga wa mwisho kujua? Au kwa sababu napenda kula ukoko so hata kama ninajua ninakuwa nasahausahau!!

Halafu hii ya mazawadi ungeweka siri iwe sapurayisi hadi tupate magift pepas. Wewe unataka tuweka zawadi nzuri kwenye sandalusi
Weka kwenye bags
 
Majukumu siwezi kuyakwepa maana kuna wengine wakiniona navyomzimia wanaweza wakadhani mbinu mbadala zimetumiaka kumbe ni L. O. V. E ndo imetawala kwangu kwake.

Sasa wewe andaa zawadi nakuja kuzichukua nizipeleke maana huchelewi kutake advantage, na risiti nipatie kabisa ukose sababu
Hahaha
 
Happy Belated Birthday Wishes BlessedHope

Inawezekana heko yangu kwako juu ya tarehe yako ya kuzaliwa imekuja kwa kuchelewa hasa ukiangalia masaa yamepita tangu tarehe ya jana na leo ni siku nyingine tena.

Nakukumbusha tu kuwa Jukwaa hili, yes, Makapuku Forum ni sehemu nzuri sana kwa sababu wewe ni sehemu muhimu ya Jukwaa hili.

Nina mengi ya kuandika juu yako ukurasa huu usitoshe, itoshe tu kusema Heko ya kuumbuka kuzaliwa kwako BH
(
nakupenda sana) na Makapuku wanakupenda pia

giphy-1.gif
Hiyo GIF ni [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Back
Top Bottom