Makapuku Forum

Makapuku Forum

...korosho nilileta nikamuonjesha mama mchuchu, hakuzipenda na nikajua nawe hutozipenda. Nikaziuza nikarudi Mtwara.
Jinunulie karanga kwanza, zisipokupalia then nijulishe nikuletee kiroba kizima
Karanga za ninii mm nataka korosho mie halaf kama mama mchuchu hajazipenda si yeye tu kwani me na mama tunashare ulimi na meno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom