Ni huyu???Futa kauli yako.....
Mjini hapa sio lazima kuajiriwa/kwenda ofisini wengine tumeajiri watu/tunaletewa tu mahesabu
Punguza kauli za ajabuajabu
......................
Habari ya kwako Mkuu!Good morning all......
Happy month day.....kapuk forum
PotezeaWengi wanatuweka kwenye kundi la wasiokuwa nacho, hawajui kwamba MAKAPUKU ni jina.
Hali yako braza?Poa poa nimekuelewa sana.
People for peace
Poa poaWe mara nyingi nakwambiaga sina tatizo na wewe, ninakuelewa.
Ila siyo watu wote wanakuelewa, jitahidi kuacha tabia za wakongwe mliokuwa mnawalalamikia.
NAsiyo wote wanawaweka kwenye kundi ilo ni kujitahidi kuelewa na kutofautisha wakati .... hata hivyo unawezaje kukosa raha na kunung'unika kwa kitu ambacho hakina uhalisia nawewe??Wengi wanatuweka kwenye kundi la wasiokuwa nacho, hawajui kwamba MAKAPUKU ni jina.
Usijali braza, pamoja sana.Potezea
Kumjadili ni kumpa kichwa tu
Tufanye yetu
....................
NAsiyo wote wanawaweka kwenye kundi ilo ni kujitahidi kuelewa na kutofautisha wakati .... hata hivyo unawezaje kukosa raha na kunung'unika kwa kitu ambacho hakina uhalisia nawewe??
Kuna mambo huyajui kakaNime-double quote baada ya kuona ulivyomjibu rubii, utani ni part ya maisha, na JF nia maisha pia. Uwe unajua kutofautisha kati ya utani na kumaanisha!
Usikuze mambo wewe.NAsiyo wote wanawaweka kwenye kundi ilo ni kujitahidi kuelewa na kutofautisha wakati .... hata hivyo unawezaje kukosa raha na kunung'unika kwa kitu ambacho hakina uhalisia nawewe??
Tuhamie jandoniNi kujishtukia tu, watu hawataki hata kutaniwa? Itabidi kuingia kwenye hii thread uwe unaomba access na uambiwe sheria zake.
niko hapa bro. mambo vipi lakini?Jonax unapita kimya kimya kulikoni?
Usikuze mambo wewe.
Shetani anapita tusasa mabishano ya nini tena wajameni