Makapuku Forum

Makapuku Forum

NAsiyo wote wanawaweka kwenye kundi ilo ni kujitahidi kuelewa na kutofautisha wakati .... hata hivyo unawezaje kukosa raha na kunung'unika kwa kitu ambacho hakina uhalisia nawewe??[emoji15]
Mupenzi badilisha mada, najua utani wako, huku tumezoea kuitana honey, sweet nk
So hebu rudi pande hii ilozoeleka,,sawa!
 
OKAY...
sasa nmeshakuja na suluhisho.
kutokana na hii mis-understanding iliyojitokeza hapa juu nmeona bora "tufunike kombe mwanaharamu apite"
kwa maana hata hawa waliokwaruzana tayari wameshayamaliza so AMANI NA ITAWALE
 
Back
Top Bottom