Kitambi kunywa juice ya malimao [emoji2]Asante
Me nataka kupunguza kitambi[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Vip nikija nitafanikiwa???
Kumbe!!![emoji40]SORRY PAROKO
Kuna mambo uwe unachunguza kabla ya kuingilia na kuleta upatanishi......kuna sehemu unapatanisha kumbe hujui ulitukanwa na ww pia
No shobo
No ufagio
Think twice
.....................
Me nataka gym ya huyo mkaka[emoji85] [emoji85]Kitambi kunywa juice ya malimao [emoji2]
Anajua hili niko naye hpa
[emoji87] hapo its more than gym sasaMe nataka gym ya huyo mkaka[emoji85] [emoji85]
Akuuu ni gym tuuuuu[emoji87] hapo its more than gym sasa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] matokeo ya gym soonAkuuu ni gym tuuuuu
Matokeo ni kutoa kitambi tuuu[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji12] [emoji12] [emoji12] matokeo ya gym soon
Asante Mkuu.Jmn krbun gym!!!
Achana na gym njoo nikukande hilo tumboMe nataka gym ya huyo mkaka[emoji85] [emoji85]
Kuna mzushi kaingia kwa mbwembweKumbe!!![emoji40]
Hatupendi unafiki & mizinguano
......................
Jichunguze haupo sawa kabisa.
MUHIMU:: Usiishi jamiiforum kwa hisia kali
HaikuhusuPresidaa veepe!
Hivi posts za form 5 bado?
Presidaa veepe!
Hivi posts za form 5 bado?
[emoji3] [emoji3] Impliedmanuu kasema niende gym na sio kwakoooo
Haikuhusu
Nasoma drs la 3
...................
Wengi wanatuweka kwenye kundi la wasiokuwa nacho, hawajui kwamba MAKAPUKU ni jina."Kula kulala"
Utani gani huu?
Kuna watu wana familia zao hapa
Tunapenda funny lkn sio kauli za ovyo
.........