NimekuPMMorning all
Futa kauli yako.....
Mjini hapa sio lazima kuajiriwa/kwenda ofisini wengine tumeajiri watu/tunaletewa tu mahesabu
Punguza kauli za ajabuajabu
......................
Hatupendi unafiki & mizinguanoUHA HA HA HAAAA
Unafiki wangu upi?Hatupendi unafiki & mizinguano
......................
"Kula kulala"Unafiki wangu upi?
"Kula kulala"
Utani gani huu?
Kuna watu wana familia zao hapa
Tunapenda funny lkn sio kauli za ovyo
.........
OKsasa atakua mwehu achukie kisa kataniwa jf kama yeye kula kulala na anamaisha yake mazuri tu???
Hatakua normal uyo
Jichunguze haupo sawa kabisa.OK
Endelea basi kumbe me mwehu
...........................
Sawa mkuuNimekuPM
.................
Hapa ni peace& love, maneno ya nn???Jichunguze haupo sawa kabisa.
MUHIMU:: Usiishi jamiiforum kwa hisia kali
HahaaaaBora ulale unataka kufukiza ndege wangu!!
Hapa ni peace& love, maneno ya nn???
Poa poa nimekuelewa sana.Maneno ya kuelimishana na kuwekana sawa tu
AsanteJmn krbun gym!!!
Ama vip, hapa ni kupost na kulike, kuna jukwaa la eelimuManeno ya kuelimishana na kuwekana sawa tu