EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,177
- 25,511
Kaushaaa..Poa...sasa nimekusoma mwehu! Binti wa kona bar, ndo unarudi kutoka kazini au?
Kaushaaa..Poa...sasa nimekusoma mwehu! Binti wa kona bar, ndo unarudi kutoka kazini au?
Salama broHabari zenu
kemea basi 'pasta'Shetani anapita tu
Pamoja sana Mkuu.OKAY...
sasa nmeshakuja na suluhisho.
kutokana na hii mis-understanding iliyojitokeza hapa juu nmeona bora "tufunike kombe mwanaharamu apite"
kwa maana hata hawa waliokwaruzana tayari wameshayamaliza so AMANI NA ITAWALE
yu wapi youngblood mkuu?Agape[emoji178] [emoji178] [emoji178]
safi za j3 mpendwa?Salama bro
Habar ya wewe???
Thus y I LOVE UUU[emoji179] [emoji178] [emoji179] [emoji178] [emoji179] [emoji179]You know me love [emoji41] [emoji41] not easy to react yet it takes a minute to calmdown [emoji41]
*bataHuku ni buradan jaman hakun kinachobid ni kula bada
AmenOKAY...
sasa nmeshakuja na suluhisho.
kutokana na hii mis-understanding iliyojitokeza hapa juu nmeona bora "tufunike kombe mwanaharamu apite"
kwa maana hata hawa waliokwaruzana tayari wameshayamaliza so AMANI NA ITAWALE
Elewa si kila anayekuja hapa ni Kapuku, Makapuku waliosajiliwa wanaeleweka na wapo kwenye chart mda wote.Naona siku hizi makapuku wameshuka morali sasa sielewi ni kuuzoea ukapuku ama kuna makapuku ambao ukapuku wao umeisha!
President Bitoz kama vipi muwape vyeti makapuku wanao hitimu wasiwe wanaondoka kimya kimya kama Dr.Slaa alaf waje kuibukia upande wa pili sio vyema
[emoji15] brother naona unachangamkia fursa.. mana kila sehemu unatupa nyavuThus y I LOVE UUU[emoji179] [emoji178] [emoji179] [emoji178] [emoji179] [emoji179]
Kuna mzigo PMAmen
Mkuu pamoja sanasafi za j3 mpendwa?
Safi Mkuu, habari ya wewe?Niaje wadau, ...
kwema mzee aje aje?Niaje wadau, ...
Mzima lakini?Mkuu pamoja sana
Wow. WisemanOKAY...
sasa nmeshakuja na suluhisho.
kutokana na hii mis-understanding iliyojitokeza hapa juu nmeona bora "tufunike kombe mwanaharamu apite"
kwa maana hata hawa waliokwaruzana tayari wameshayamaliza so AMANI NA ITAWALE
iko pouwaaaNiaje wadau, ...
Jumatatu iko poaaaasafi za j3 mpendwa?