Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Abeeh
Shikamoo
Abeeh
AbeeeTumosa
Asante ubarikiwewa makapuku wote nawasalimia
Mbona avatar yako naiona kwanguAbeee
AiseeehAbeeh
Shikamoo
Mzima lakini??Asante ubarikiwe
Mbona avatar yako naiona kwangu
na mm kuna kipindiii huwa naona wote wana avatar yangu
Ahahh nimechekaAiseeeh
Mzima sana namshkuru Mungu kwakweli sijui weweMzima lakini??
Yaaan majuzi pia nipo mmu najiona nina avatar ya mkaka![]()
![]()
![]()
na mm kuna kipindiii huwa naona wote wana avatar yangu
Na mimi jumapili imekua ya kipekeeMzima sana namshkuru Mungu kwakweli sijui wewe
Hapana kuna mkaka aliweka avatar yake inatisha nilikua nae kwenye huo uzi mara ghafla najiona mm na avatar yake
Maraaaa papuuuuu jamaa kakutumia tungulHapana kuna mkaka aliweka avatar yake inatisha nilikua nae kwenye huo uzi mara ghafla najiona mm na avatar yake
Tunguli tena atanitumiaje sasaMaraaaa papuuuuu jamaa kakutumia tungul
MshanaTunguli tena atanitumiaje sasa
Unaionaje mke mweee hebu fafanuaMbona avatar yako naiona kwangu
Makaveli10 ndio anamjua Jestkilla huwa ni killer kweli kweliHahaaa..
Msalimie jestkilla na makaveli