Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Vipiiii tena jaman[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Vipiiii tena jaman[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
....pozea na hii kwanza. Nidja imegoma
[emoji4] [emoji4] [emoji4]BH alifurahia sana zawadi yake, amekusimulia?
Mama nchuchuu[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Mama shikamoo nyimbo unayoipenda[emoji120] [emoji120]
Mama ni zawadi gani ulipewa na obe[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Marahaba rafiki..Mkuu shikamoo
Ahsante. Mi nakubali. Yule alieambiwa na Askofu wa pale Mwenge...!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ahsante. Mi nakubali. Yule alieambiwa na Askofu wa pale Mwenge...!
Hajaniambia zawadi gani umempa
Sijui alimwambia nini bana.... Ila kesho yake wakampelekea timu nzima ya tiaraei kukagua hesabu za kanisa......kwani aliambiwa nini? Maana askofu wa pale mwenge namjua hanaga mawenge
Sijui alimwambia nini bana.... Ila kesho yake wakampelekea timu nzima ya tiaraei kukagua hesabu za kanisa
Mama ni zawadi gani ulipewa na obe
Si yule naniii...! Mwenye Nanii...! Anatutetea sisi kwa mapenzi yake!Unazidi kunichanganya tu mdau, kwani huyo aliyeambiwa akatubu ( uzuri wewe umetubu) anaweza kuwaamurisha hao tiaraei wafanye ukaguzi. Kwani ni nani huyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na leo nimeshinda kweli biko umejuajeUsishangae mjomba, aunt keshashinda Biko kwa hiyo utaitwa jina lolote linalokuja
Wala siitaki mie...nzuri hiyo, wee acha tu. Yaani ni nzuri ukiiona lazima utamani sema ndo hujatimiza vigezo
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mama nchuchuu
MnoooMama shikamoo nyimbo unayoipenda