HakikaTshishimbi atupia bao la kurudisha mpenzii aliyekimbiaa![]()
Miss u too Mond

Shemela nmekuhamuHakika
Kumekuchaa na makuchaa yakeee.. .
Taarifa kwa umma: usku wa jana binamu Obe kaletewa zawadii ya ua japo ni jeusiii tiiii kutoka kwa mama ashura naona penzi lao limechipuka tena ...
Kwa waliomua kuitumia siku ya jana kwenye vibanda umiza kama mimi tulifaidii ...achana na story eti nilipitia kwa muuza chapati ni nongwa tu za binamu...
Soon magazeti
Tuwe na siku njema...![]()