Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG-20160507-WA0009.jpg
Kwak
 
Naona siku hizi makapuku wameshuka morali sasa sielewi ni kuuzoea ukapuku ama kuna makapuku ambao ukapuku wao umeisha!
President Bitoz kama vipi muwape vyeti makapuku wanao hitimu wasiwe wanaondoka kimya kimya kama Dr.Slaa alaf waje kuibukia upande wa pili sio vyema
 
Fanya utafiti kwanza
Chama linakuwa ...wanaosepa ni wale MAMLUKI halafu kuna watu mwanzo walidengua sasa ndio wameona chama kubwa wameanza kuibuka
Kumbuka kuna watu wamefuata LIKES tu kinafiki

One Love
.................
 
Sawa prezdah, ila walioota ndevu waondoke nyumban wakatafute maisha wasije wakaanza kuonea wadogo zao
 
Hamna mkuu hapa ni mwendo wa Isidingo tu kasome post # 3
Sisi ni km kufa na kuzikana
Adui zetu ni wale wakongwe na wanaojiona mastar WA Jf...utafikiri ni forum ya baba zao
Ukapuku utaendelea ht miaka
................
 
Hamna mkuu hapa ni mwendo wa Isidingo tu kasome post # 3
Susi ni km kufa na kuzikana
Adui zetu ni wale wakongwe na wanaojiona mastar WA Jf
Ukapuku utaendelea ht miaka
................
Sawa kabsa japo sifa za ukapuku zitaisha watabakia makapuku jina, ila si mbaya, makapuku wako makini sana hao wakongwe wamefichwaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom