Hamna bwana kwahiyo alikua anawapiga waliokula hela zake aiseeEnheee huyo huyo, alidhani atabeti kama kwenye mpira!
Alibeti nyumba za mama kwa hela za Waarabu! teh teh teh teh teh!
Daaah BAVICHA hawana adabu Walikula naye raha halafu wakampigia kura Msigwa!
Gwahahaahahahaha, sasa jamaa kachanganyikiwa akaanza kuwavizia Usiku kwenye vibanda vya kitimoto......
Akiona anakukumbuka kama ulikuwepo kwenye kampeni yake utagongwa mikanda ya polisi hadi kichwani,
Ukumbuke hapo ana hasira za kupigwa vitasa na Wajeda baada ya kugoma kusaini kushindwaaaa.........
Tangia siku ile sitaki tena kusikia Betting.........😀😀😀😀😀😀
Naangalia sura ngumu na wallet sasa sura ngumu inalikaje bila walletTangu siku ile useme huangalii sura ngumu, unaangalia Wallet tu, ulinifundisha kuwa mpole!
Aww [emoji8][emoji8][emoji8] binamu santeee bomba ya nyimbo hiyo nampendaga fally mm binamu ndio mana nakupenda tanteee
Tumosa babyMambo
Sa Mi nimezoea hata kama Mwanamke anataka kukuchuna, hasemi! Huwa anazuga! Sa wewe uko real sana!Naangalia sura ngumu na wallet sasa sura ngumu inalikaje bila wallet
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kama namuona mama MchungajiZile ndude mama atavaaje na unene ule jamaan[emoji134][emoji134][emoji134]
Jambo veve[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kama namuona mama Mchungaji
Hamna bwana kwahiyo alikua anawapiga waliokula hela zake aisee
Haya sasaTumosa baby
Cjambo shemela hbr za ckuJambo veve
Ndio mana tunapendana binamu yangu [emoji8][emoji8] sema wabaya wetu hawapendi kuona hivi...muziki unaopenda nami naupenda, coincidence
Ya nini nifake jaman na kila kitu kinajulikana mwanamke mzuri anahitaji matunzo me navaa nywele ya laki 3 Brazilian hiyo nywele tu sasa unataka kunikula bureeeSa Mi nimezoea hata kama Mwanamke anataka kukuchuna, hasemi! Huwa anazuga! Sa wewe uko real sana!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaan simpatiii picha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kama namuona mama Mchungaji
Hapana nipo mzima nasubiri mda niangalie where is the ElisaEeeh! Uko mahali na heineken nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana kwani na wewe unaishi iringa anaendeleaje kwa sasa ndio mana huwa nakupenda una vituko sana halaf huwa nakufatilia sana kuna ile I'd yako nyingine ileee nabaki nayo moyoni unaijua unatukanaga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Teh teh teh teh unabisha nini sasa ??
Mzee mwenzangu alichanganyikiwa sana baada ya kukosa.
Akifikiria zile pesa za Waarabu alizokopa, akaamua kutulizia maumivu kwa watu waliokula pesa zake za kampeni!
Zile kampeni walimfanyia fitna sana Mzee Mahiga wakampa mzee wa TFF...
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji7] mekumiss pia Kpenz chako hajamboKwema...
Nimekumiss tuu mdogo wangu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] na hzo ndude[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaan simpatiii picha