Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Shemela me nimekumiss mnoooo D mzima halaf nilikua nakutafuta hivi zile scania zilizoandikwa shululu juu ya kichwa ni zako eenhShemela wangu shunie upo, nimekumisi sana,D hajambo
Shemela me nimekumiss mnoooo D mzima halaf nilikua nakutafuta hivi zile scania zilizoandikwa shululu juu ya kichwa ni zako eenhShemela wangu shunie upo, nimekumisi sana,D hajambo
Mama jj [emoji173] [emoji173] [emoji173][emoji15] [emoji15] [emoji15] Acha masihara
Mimi zaidi shemela, mpe hi sana DShemela me nimekumiss mnoooo D mzima halaf nilikua nakutafuta hivi zile scania zilizoandikwa shululu juu ya kichwa ni zako eenh
Usikwepe swali langu nililoulizaMimi zaidi shemela, mpe hi sana D
Hilo ni jina la ukoo wetu, hizo gari niza ndugu yetuUsikwepe swali langu nililouliza
He he me mtu mzima shemela nimekuelewa mnoooo nikiziona tena zinapita barabarani kwetu nitaomba lift nitawaambia gari ya shemela wanguHilo ni jina la ukoo wetu, hizo gari niza ndugu yetu
Umepotea sana kaka...Nipo hapa, tatizo ni nini
Usinifanyie roho mbaya rafiki mpenzi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana we ebu niache bado nadai mie
Roho mbaya ipiiii kwahiyo ulipanga kutuuza auUsinifanyie roho mbaya rafiki mpenzi..
Akuuu niwauze kwanani wakati mwenyewe nawapenda?Roho mbaya ipiiii kwahiyo ulipanga kutuuza au
Mfyuuu zakoAkuuu niwauze kwanani wakati mwenyewe nawapenda?
[emoji173] [emoji173] [emoji173]Shemela wangu shunie upo, nimekumisi sana,D hajambo
Karibu shemelaHe he me mtu mzima shemela nimekuelewa mnoooo nikiziona tena zinapita barabarani kwetu nitaomba lift nitawaambia gari ya shemela wangu
Nipo, mama jj anajua nilipoUmepotea sana kaka...
Same to you shululu...Heri ya mwaka mpya
[emoji16][emoji16][emoji16]Shemela me nimekumiss mnoooo D mzima halaf nilikua nakutafuta hivi zile scania zilizoandikwa shululu juu ya kichwa ni zako eenh
Mwambie una babu zako huhitaji kubinafsishwa [emoji16]Mfyuuu zako
Ipi tenaSame to you shululu...
You have a case to answer
Nimepata habari umemtelekeza mjukuu wanguIpi tena
Marahaba mwanangu za uzima ubarikiweMama shikamooo