shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Hapana, nipo naye hapa nyumbaniNimepata habari umemtelekeza mjukuu wangu
Hapana, nipo naye hapa nyumbaniNimepata habari umemtelekeza mjukuu wangu
Usiku mwema rafiki....Mfyuuu zako
Hapana hajanitelekeza hzo ni fitna za MondrayNimepata habari umemtelekeza mjukuu wangu
Makapuku bwana huu mwaka sijui kuna nini. Hawaeleweki kabisa...Kwema?Hv bado mmetekwa na majukumu leo jumapili jamani rudini
Nipo hapa, tatizo ni nini
niaje mkuuNipo hapa, tatizo ni nini
Kwema hbr ya ckuMakapuku bwana huu mwaka sijui kuna nini. Hawaeleweki kabisa...Kwema?

Mkuu Mondray. Heri ya mwaka mpya...
Karibu sana mkuuHodi humu ndani
Asante mondray barikiwa mnoo
Ha ha ha ha ha ha... Anakunyemelea nini mjukuu wangu?Hapana hajanitelekeza hzo ni fitna za Mondray
Vyuma vimelegea Kwa speed zimeongezekaMakapuku bwana huu mwaka sijui kuna nini. Hawaeleweki kabisa...Kwema?
Umemgundua.. ...huyu mtu matata sana!Asante mondray barikiwa mnoo
Asante tumosaKaribu sana mkuu